×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 121 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Sifa za Imamu, pia imezungumzia hukumu ya kijana mdogo kuswalisha watu.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (24) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: sababu za kuingia peponi, kisha amebainisha uwajibu wa kusambaza elimu na kubainisha haki.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Warith - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya nafasi ya usafi katika Uislamu ikiwemo Sunna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia ubora na umuhimu wa maisha ya ndoa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 120 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Allah ameijaalia ardhi yote kuwa twahara kwa Ummati Muhammad (s.a.w), popote ikupatapo swala unaswali, pia imezungumzia mahala na sehem zilizo katazwa kuswali

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (23) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: nivipi mja atamshukuru Mola wake, na nivipi motto atawashukuru watoto wake, kisha akabainisha sifa ya mtume katika kumshukuru Mola wake.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Qayumu - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 119 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa kusafisha nia wakati wa kutoka nyumbani kwenda Msikitini, pia imezungumzia ubora wa kujiepusha na yale yaliyo katazwa.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (22) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: sababu za tawba, katika hizo sababu: ni kwasababu Allah ni mwingi wa kukubali tawba, na kwakuwa Mtume anaitwa mtume wa tawba, kisha akabainisha maana ya mnafiki.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Hayyu - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 118 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa mambo yanayo ruhusiwa na yanayo katazwa kuyafanya Msikitini, pia imeelezea ubora wa Swala ya mwanamke ni kuswalia nyumbani

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (21) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Khatari ya kughafilika, na hali za watu katika hali ya kughafilika, kisha akabainisha kuwa akhera nibora kuliko dunia.