×
Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia hukumu za Kafara na aina zake na badhi ya ibada ambazo zinafuta madhambi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - As-Samiiu - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 100 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Swala za Sunna zilizo za sababu na nyakati zake, pia imeelezea sijida ya kisomo (sijidatu tilawa) na umuhimu wake

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - An-Naswiir - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 099 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nafasi ya Swala katika Uislamu, pia imeeleze umuhimu wa kuchunga masharti na wajibati katika swala

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Almawla - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 098 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina pamoja na mgawanyiko wa swala za Sunna, imeelezea swala za Sunna zilizo za sababu

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Hamiid - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 097 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kushiba sana usiku ni katika sababu zenye kumfanya mtu kushindwa kuamka kuswali (Qiyamu layli), pia imezungumzia swala za usiku zinampandisha mja daraja

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Waliyu - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 096 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayosaidia kuamka kuswali usiku ni mtu kulala akiwa twahara, au kulala na udhu

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Majiid - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.