×
Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Mutakabir - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.

Image

HIJABU - (Kiswahili)

Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake.

Image

Adhkari zinazo semwa asubuhi na jioni. - (Kiswahili)

Adhkari zinazo semwa asubuhi na jioni.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 115 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa adabu za kuingia Msikitini kama livyofundisha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumfuata Imamu katika hali yoyote uliyomkuta

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (18) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kwamba Allah anasamehe madhambi yote, kisha ameelezea viziwizi vya tawba, na yanayo mfaa mtu baada ya kufa.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Jabaar - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 114 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Fadhila za kutembea na kwenda kuswali Swala ya jamaa, pia imezungumzia mambo ya kujipamba nayo wakati wa kwenda Msikitini.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (17) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: hali ya Mtume alayhi salaam katika tawba kisha amebainisha sababu za tawba.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Aziz - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 113 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa kuswali katika swafu ya kwanza upande wa kulia wa Imamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuitikia Amiin.