×
Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (16) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za kukubaliwa tawba nikurejesha haki za watu, kisha amebainisha aina ya haki za watu: Heshima za watu au mali zako

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Muhaymin - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Mali tatu ya upendo Mali tatu hujua nabii wetu - (Kiswahili)

Mali tatu ya upendo Mali tatu hujua nabii wetu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 112 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa kunyoosha swafu kama Malaika wanavyo nyoosha swafu mbele ya Mola wao, pia imeelezea ubaya wa swafu ya mwisho kwa wanaume.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (15) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sharti za tawba yakweli, kisha ameelezea uwajibu wa kushikamana na ibada kwa marais na wafalme na maaskari.

Image

Kuswali katika swafu ya kwanza - 20 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Qahaar - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .

Image

SHARTI ZA SWALA NA NGUZO ZAKE NA WAJIBU WAKE - (Kiswahili)

SHARTI ZA SWALA NA NGUZO ZAKE NA WAJIBU WAKE

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 111 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa swala ya Alfajiri na swala ya Asri, pia imeelezea umuhimu wa swafu ya kwanza katika Swala.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (14) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: tiba ya madhambi na maasi katika suratu Tahreem, kisha ameelezea maana ya Tawba na umuhimu wake.

Image

Kuswali swala ya Ishaa na Alfajiri kwa jamaa - 19 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.