×
Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya nafasi ya usafi katika Uislamu ikiwemo Sunna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia ubora na umuhimu wa maisha ya ndoa.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Dua alizoomba Mtume (s.a.w) ili Allah amkinge na Moto wa Jahanam na Adhabu za kaburini, pia imezungumzia miongoni mwa sababu za watu kuadhibiwa kaburini.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu aina mbili ni watu wa fitina kubwa ni wajibu kwa Muislamu kujiepusha nao, pia imezungumzia umuhimu wa kuchukua tahadhari wakati wa ikukidhi haja.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sehemu zilizo bora na muhimu kuomba dua kwa mwenye kufanya Hijja kama alivyokua akifanya Mtume (s.a.w) na watu wema waliopia, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga matendo ya Hijja na kuto ya changanya na shirki.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah ni kwamba Allah anawakusanya mahujjaji wote katika viwanja vya Arafa wakiwa katika vazi la aina moja, pia imezungumzia kuwa pepo ndiyo malipo ya mtu mwenye kufanya Hijja ya kweli.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah juu ya wake ni kwamba amempa mwanadamu akili na akamfanya kuwa kiumbe bora kuliko, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya toba ya kweli katika masiku ya Hijja

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 160 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muda na wakati wa kuanza kuleta takbira za Iddi, na namna ya kuleta takbira.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 159 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Adabu za khutba ya Iddi, na taratibu zake kama alivyo fanya Mtume s.a.w.