×
Image

Aliyeamka kuswali usiku na akamuamsha mkewe - 26 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umauti uko mbele ya kila mtu na hayakimbiliki, pia imeelezea juu ya kujiaandaa kwa matendo mema kabla ya umauti.

Image

Mwenye Kumtaja Mwenyezi Mungu baada ya kuswali Alfajiri kwa jamaa mpaka jua kuchomoza kisha akaswali rakaa mbili - 25 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuyazuru makaburi ili kujikumbusha na akhera, pia imeelezea kuwa hakuna atakaeishi milele katika hii dunia.

Image

Mwenye kubaki katika Mswala akimtaja Mwenyezi Mungu - 24 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kujianda na safari ya akhera ni kwa kutoa mali katika njia ya Mwenyezi Mungu, pia imeelezea ubora wa kuwalea mayatima.

Image

Swala ya Dhuhaa - 23 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kudumu katika kusoma Qur’an tukufu ili kujitengenezea njia nzuri akhera, pia imeelezea ubora wa kuamrisha mema na kukataza maovu.

Image

Swala ya mwanamke nyumbani kwake - 22 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Siku ambayo watu wote watarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia hasara ya wale wanaoabudu kisichokua Mwenyezi Mungu.

Image

Mwenye kudumu kuswali Sunna za ratib (za qabliyah na baadiyyah) - 21 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Duniani wote tunapita na kila mtu ataulizwa kutokana na matendo yake, pia imezungumzia mtu bora mbele ya Allah ni mcha Mungu.