×
Image

Safari Ya Mwisho 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kudumu katika kufanya matendo mazuri, pia imezungumzia kujiandaa kutokana na safari ya mwisho (umauti).

Image

Safari Ya Mwisho 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kuangalia na kuzingatia namna alivyopatikana kutokana na tone la manii.

Image

Safari Ya Mwisho 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatuwa za kuumbwa mwanadamu na jinsi zinavyo badilika mbegu (manii) mpaka kufikia kuwa kiumbe hai, pia imeelezea, viza vitatu anavyopitia mwadamu.

Image

Safari Ya Mwisho 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Asili atokanayo mwanadamu, pia imeelezea malipo ya wenye kumuamini Mwenyezi Mungu bila ya kuzichanganya imani zao na shirki

Image

Safari Ya Mwisho 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maisha ya Nabii Adam (a.s) baada ya kuondolewa Peponi, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwongozo wa Allah katika maisha.

Image

Safari Ya Mwisho 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kuumbwa kwa Mama yetu Hawa (a.s), pia imezungumzia namna Babayetu Adamu na Hawa walivyo shawishiwa na ibilisi peponi.

Image

Safari Ya Mwisho 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Safari ya mwisho na maana yake na kwamba kila safari lazima iwe na mwanzo, pia imeelezea historia fupi ya kuumbwa kwa Nabii Adam.

Image

Kuwafunga wanyama kengere -68 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mwanamke kuomba talaka -67 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kuwahadaa raia -65 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mwanamke kumsusia mumewe -64 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Wanawake kuzuru makaburi -63 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.