×
Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.

Image

Safari Ya Mwisho 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuishi kwa kufuata mfumo wa kiislamu na kumuogopa Allah katika siri na bayana, pia imezungumzia hatari ya ubaguzi katika uislamu.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)

Image

Safari Ya Mwisho 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kumcha Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia ulazima wa kuchunga mipaka ya Mwenyezi Mungu.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.

Image

Safari Ya Mwisho 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kudumu katika kufanya matendo mazuri, pia imezungumzia kujiandaa kutokana na safari ya mwisho (umauti).

Image

Fadhila za Ibada ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Fadhila za Hijja na mapenzi ya Allah kwa waja wake na kwamba mwenye kufanya Hijja ya kweli malipo yake ni pepo, pia imezungumzia Hijja ni mazingatio kwa waja ili watu wasibaguane na wala wasidharauliane.

Image

Safari Ya Mwisho 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kuangalia na kuzingatia namna alivyopatikana kutokana na tone la manii.

Image

Sunna ya kabla ya Alfajiri - 16 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatuwa za kuumbwa mwanadamu na jinsi zinavyo badilika mbegu (manii) mpaka kufikia kuwa kiumbe hai, pia imeelezea, viza vitatu anavyopitia mwadamu.

Image

Kwenda Msikitini - 15 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Safari Ya Mwisho 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Asili atokanayo mwanadamu, pia imeelezea malipo ya wenye kumuamini Mwenyezi Mungu bila ya kuzichanganya imani zao na shirki