×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 073 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama, pia imeelezea umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah

Image

080. Abasa - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

UZITO WA WAZAZI WAWILI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Uzito wa wazazi wawili na malipo ya kuwafanyia wema.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 072 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nafasi na daraja ya swala katika uislamu, pia imeelezea namna maasi yalivyo kithiri kutokana na watu kuacha swala

Image

082. Al-Infitaar - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Ar-Rauf - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

HAKI ZA MAJIRANI - (Kiswahili)

KHUTBA HII INAZUNGUMZIA HAKI ZA MAJIRANI NA HAKI ZA MAYATIMA NA UMUHIMU WA HATARI YA KUVUNJA UDUGU.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 071 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo yote yaliyo ya sunna katika swala, pia imeelezea namna ya kusujudu kwa wanawake

Image

083. Al-Mutafifiin - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Ghafaar - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 070 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo yaliyo ya wajibu katika swala pamoja na sunna za swala, pia imeelezea hukumu ya sijda ya kusahau kwa maamuma

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 50 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa tahiyyatu na aina za matamshi ya tahiyyaatu.