×
Image

Sherhu Umdatul Ahkam 25 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya sita, amebainisha kauli za wanachuoni kuhusu najsi ya mbwa, kisha akabainisha uwajibu wa kutumia mchanga katika kuosha najsi, kisha akabainisha faida katika hadithi hii: kwamba najsi ya mbwa na nguruwe ni najsi nzito, mbwa akilamba katia chombo kinakuwa najsi.

Image

Kusengenya -55 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua unapo vuma upepo - 24 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 24 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ameleza faida za hadithi ikiwemo, kujuzu kujitwaharisha katika maji yanayo tembea na inajuzu kukidhi haja katika maji yanayo tembea kwa dharura. Kisha amebainisha hadithi ya sita inayo zungumzia namna ya kuosha chombo kilicho lambwa na mbwa na nguruwe kisha ametaja taratibu za kufuga....

Image

Fitina -54 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua wakati inapo teremka Mvua - 23 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 23 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: ufafanuzi wa hadithi ya tano na amebainisha upotovu wa rai ya dhwahiriya katika hadithi hii, kisha amebainisha faida za hadithi hii ikiwemo: makatazo ya kukojoa katika maji yalio tuwama, na kwamba Uislam unalinda mazingira, uislam unapiga vita uchafuzi wa mazingira, na usafi nikatika imani.

Image

Picha -53 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua kwa mwenye kudema Allah akubariki - 22 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 22 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ambayo imeelezea makatazo ya kuoga katika maji yalio tuwama mahala pamoja, kisha akabainisha maana ya maneno ya hadithi na tafsiri ya hadithi kisha akafafanua kuhusu upokezi wa hadithi hii.

Image

Ujasusi -52 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 21 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya nne, ameeleza maana ya hadithi kwa jumla, kisha akabainisha faida za hadithi: kwamba inafaa kupandisha maji puani na kuyatoa, na nisheria kuosha mikono miwili baada ya kuamka usingizini, aliye lala bila kuambatanisha makalio yake anatakiwa atawadhe upya.