×
Image

Umuhimu Wa Imani 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswali na majibu, na imefafanua uharamu wa kufanya biashara ya nguruwe na kutumia chumo linalopatikana katika biashara hiyo, pia imezungumzia hatari ya kula haramu na kwamba mwnye kula haramu hata dua yake haijibiwi.

Image

Zama za Fitna - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Zama za fitna na kwamba nilazima watu wachukue tahadhari, pia imezungumzia umuhimu wa kutafuta elim yenye manhji ya kufuata sunna za Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislam madhubuti katika imani yake, pia imezungumzia hatari ya kufuata au kufanya jambo bila ya elim, nakwamba....

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 35 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuadhini katika mazingira yoyote, pia imezungumzia ubora kukubali na kufuata haki.

Image

Umuhimu Wa Imani 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 34 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kutoa Adhana anaombewa msamaha na kila chenye kusikia Adhana hiyo, pia imeelezea mitihani wanayopata waadhini wa zama hizi.

Image

Umuhimu Wa Imani 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha watoto Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w) na maadili ya kiislamu, pia imezungumzia ubora wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika matendo, na hatari ya kuiga tabia za kimagharibi.

Image

Umuhimu wa Ibada ya hija - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Hija na kwamba (Alqaaba), na ameeleza kuhusu Maqamu Ibrahima, pia imezungumzia namna ilivyojengwa Alqaaba na chanzo cha kuswali rakaa mbili nyuma ya maqamu Ibrahima. 2- Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa kuhiji katika nyumaba ya Allah Tukufu na kwamba ndiyo nyumba ya kwanza....

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 33 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa Adhana na malipo anayopata Muadhini, pia imeelezea umuhimu wa kwenda mapema msikitini.

Image

Pepo na Moto 26 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwalingania watu na kuwatahadharisha na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe.

Image

Umuhimu Wa Imani 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu ya Maswahaba kufanya (Hijra ya kwanza) kuhama kutoka Makkah kwenda Habashi na yale waliyo jifunza, pia imezungumzia mbinu, njia na namna ya kufundisha.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Adabu na utaratibu wa kuelekea katika swala, pia imeelezea umuhimu na ubora wa safu ya mbele kwa mwanaume.

Image

Umuhimu Wa Imani 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mipango ya makafiri juu ya kuuangamiza uislamu na kwamba ni mipango ya muda mrefu, pia imezungumzia umuhimu wa waislamu kujidhatiti katika vyuo, misikitiki na majumbani ili kuwajenga vijana wa kiislamu katika imani ya kweli.