×
Image

Sherhu Umdatul Ahkam 06 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Uchafu wa wenye kupinga hadithi za mtume (s.a.w) kisha amenukuu maneno ya Imamu Suyutwiy ambayo yamebainisha hukumu ya mwenye kukanusha hadithi za Mtume (s.a.w) kuwa ni kafiri.

Image

Kumtaja Allah ni sababu ya uokovu -12 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mkataji udugu -36 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua ya kwenda msikitini - 05 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) kumruhusu bi Aisha (r.a) kwenda kwao wakati akisubiri suluhisho kutoka kwa Allah kutokana na uzushi aliozushiwa, pia imezungumzia kilio alicholia mama Aisha (r.a) mbele ya wazazi wake.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 05 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: njia za kuifanyia kazi Qur’an kupitia matendo ya Mtume (s.a.w) kisha amebainisha baadhi ya vitabu ambavyo vina warudi wenye kupinga hadithi za Mtume (s.a.w).

Image

Ubora wa Kumtaja Allah katika Raha -11 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kunywa kwa mkono wa kushoto -35 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 9 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kisa cha uzushi aliozushiwa mama Aisha (r.a) na kwamba madhara ya ulimi ni makubwa kulikoupanga, pia imezungumzia hatari na ubaya wa uzushi katika uislamu.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 04 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Umuhimu wa elimu ya hadithi, kisha amebainisha kwamba asiye amini kuwa hadithi ni hoja basi atakuwa adui wa uislam, kisha amebainisha maana ya kumtii mtume (s.a.w)

Image

Kumtaja Allah sana ni alama ya imani yenye nguvu, na kumtaja kidogo nialama ya udhaifu wa imani -10 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kunywa kwa kutumia vyombo vya dhahabu na fedha -34 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.