×
Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:, ufafanuzi wa muujiza uliotokea katika sulhul-hudeybia, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kutemea mate katika kisima kilichokuwa kime kauka maji na maji yakajaa.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ndani ya Qur’an aliyopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kupasuka mwezi, pia imezungumzia miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kulizuia jua, na kutoa maji katika vidole vyake Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza aliopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa Qur’an tukufu ambao unaitwa muujiza mkubwa, pia imezungumzia miujiza iliyomo ndani ya Qur’an, na namna makafiri walivyoshindwa kuleta mfano wa Qur’an.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ni kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu na imebainisha tofauti kati ya karama na uchawi, na kwamba karama inakua kwa mtu mwema na uchawi ni kwa mtu muovu, pia inazungumzia miongoni mwa dalili za miujiza.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na imebainisha tofauti kati ya miujiza ya Manabii waliopita na miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia tofauti kati ya muujiza na karama, na sababu ya Mitume kupewa miujiza.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maneno na wasia wa Mtume (s.a.w) kwa binti yake Fatwima na imeelezea heshima na adabu aliyokuwa nayo Fatwima (r.a), pia imezungumzia kwa ufupi historia ya Ummu Kuluthum mtoto wa Mtume (s.a.w).

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Maimuna bint Harith na kwamba ni katika wakeze Mtume (s.a.w) waliosifika na ucha Mungu, pia imeelezea habari za bi Fatwima na Ally bin Abiy Twalib (r.a).

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzinduo kwa akina mama wa kiislamu na kuwausia kufuata mwenendo wa nyumba ya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia idadi ya wakeze Mtume (s.a.w), na umuhimu wa kufanya uadilifu na sulhu katika ndoa.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nasaha kwa wanawake wote wa kiislamu kupitia mifano ya wanawake wa nyumba ya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhumu wa kushikamana na dini na kujiepusha na tabia mbaya za kimagharibi.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu ya mama Aisha (r.a) kuachwa na msafara na hatimaye kusaidiwa na Swahaba Swaf’wan bin Muwatwal (r.a), pia imezungumzia hatari na maafa ya ulimi.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maneno aliyosema mama Aisha (r.a) kabla ya kushuka Aya kwa Mtume (s.a.w) za kumtakasa kutokana na uchafu aliozushiwa, pia imezungumzia hatari ya kumzushia muislamu uchafu wa zinaa na kwamba ni katika madhambi makubwa.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) kumruhusu bi Aisha (r.a) kwenda kwao wakati akisubiri suluhisho kutoka kwa Allah kutokana na uzushi aliozushiwa, pia imezungumzia kilio alicholia mama Aisha (r.a) mbele ya wazazi wake.