×
Image

The View People Of Sunnah Towards Shiites - (Kiswahili)

The View People Of Sunnah Towards Shiites

Image

Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.

Image

TAWASWUL YA SHERIA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia binadam kumuomba na kutegemea Allah pindi anapofikwa na matatizo.

Image

MAONI YA BAADHI YA MAIMAMU KUHUSU MASHIA NA ITIKADI POTOFU. - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia maoni ya Maimamu wane juu ya madhehebu ya kishia na itikadi zao.

Image

Watu Wanyumba Ya Mtume - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha tawhidi,na uwajibu wa kumswalia mtume,na namna ya kumswalia mtume,na fadhila za ahlul baiti,na ubatilifu wa itikadi ya mashia.matusi ya mashia kwa ahlul baiti.

Image

Uislam - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

Image

MADHAMBI 7 YENYE KUANGAMIZA - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA MADHAMBI SABA YENYE KUANGAMIZA NA UFAFANUZI WAKE.

Image

Muhtasari wa misingi minne - (Kiswahili)

Muhtasari wa misingi minne

Image

MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.

Image

UMUHIMU WATAUHIDI 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid na uzito wa sura zilizo shuka kuizungumzia Tawhiid.

Image

097. Al-Qadr - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka..