×
Image

MAMBO 10 YATAKAYOKUFANYA UWE MUME BORA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu kumi zinazo mfanya mume awe bora.

Image

Duaa Katika Usiku Wa Laylatul-Qadr - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia tafsiri ya suratul qadri na kueleza ibada kubwa aliyokuwa akifanya mtume (s.a.w)na fadhila za kusimama kuitafuta laylatul qadri,na yanayo semwa katika usiku wa laylatul qadri.

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 7 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Safari ya Hussein bin Ally (r.a) kwenda Iraq iliyopelekea kifo choke, pia imeelezea uzito wa Qadari ya Allah.

Image

Safari Ya Mwisho 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuyazuru makaburi ili kujikumbusha na akhera, pia imeelezea kuwa hakuna atakaeishi milele katika hii dunia.

Image

Lengo la kuumbwa Mwanadamu - (Kiswahili)

Mada hii ni fatwa ambayo nimaswali aliyo yajibu Shaykh Muhammad ibn Saalih al-’Uthaymeen (Allah amrehemu) na swali nihili: Binadamu ameumbwa kwa malengo gani?.

Image

Mwenye kubaki katika Mswala akimtaja Mwenyezi Mungu - 24 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Wakati Wa Kumaliza Swaumu ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia muda ambao anatakiwa kufunguwa mfungaji.

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 6 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia ya chanzo cha kifo cha Hussein bin Ally (r.a), pia imeelezea shari na fitna za Mashia.

Image

Safari Ya Mwisho 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kujianda na safari ya akhera ni kwa kutoa mali katika njia ya Mwenyezi Mungu, pia imeelezea ubora wa kuwalea mayatima.

Image

Swala ya Dhuhaa - 23 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

UBORA WA KUTOA SADAKA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.

Image

Wakati Wa Kuanza Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hali ya waislam wakwanza katika kufunga,na wakati wakuanza kufunga,na toauti baina ya alfajiri yakweli na alfajiri ya uongo.