×
Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 5 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Madai ya uongo ya Mashia ya kwamba katika Qur’an kuna Aya ilishuka kwa ajili ya Ally, Hassan na Hussein (r.a).

Image

Safari Ya Mwisho 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kudumu katika kusoma Qur’an tukufu ili kujitengenezea njia nzuri akhera, pia imeelezea ubora wa kuamrisha mema na kukataza maovu.

Image

Swala ya mwanamke nyumbani kwake - 22 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

UBORA WA KUMLEA YATIMA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa kumlea yatima na hatari ya kumdhulum, kumnyanyasa na kumtesa.

Image

Hukumu Za Zakatul Fitri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu za zakatul fitri,na vyakula vinavyo faa kutolewa zakatul fitri,faida za zakatul fitri,nawatu wanaopaswa kupewa zakatul fitri.na muda wakutolewa zakatul fitri.

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ukweli kuhusu historia ya kifo cha Hussein, pia imeelezea uongo unaoenezwa na Mashia.

Image

Safari Ya Mwisho 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Siku ambayo watu wote watarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia hasara ya wale wanaoabudu kisichokua Mwenyezi Mungu.

Image

Mwenye kudumu kuswali Sunna za ratib (za qabliyah na baadiyyah) - 21 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Alama Za Laylatul Qadri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia alama za laylatul qadri,na alama batili za laylatul qadri,na hukumu za itikafu.

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mashia wanavyoitumia siku ya Ashuraa kama kumbukumbu ya kifo cha Hussein, pia imeelezea upotevu wa Mashia na sababu za kuuwa kwa Hussein bin Ally (r.a).

Image

Safari Ya Mwisho 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Duniani wote tunapita na kila mtu ataulizwa kutokana na matendo yake, pia imezungumzia mtu bora mbele ya Allah ni mcha Mungu.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.