×
Image

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ashuraa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu ya alie kula na kunywa bila kujuwa kama niramadhani,na hukumu ya alie jua baada ya kuamka asubuhi kua niramadhani.

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatua za mgawanyiko wa kuifunga swaumu ya Ashuraa kama alivyofanya Mtume (s.a.w).

Image

Safari Ya Mwisho 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuishi kwa kufuata mfumo wa kiislamu na kumuogopa Allah katika siri na bayana, pia imezungumzia hatari ya ubaguzi katika uislamu.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)

Image

vigawanyo vya tawhid - (Kiswahili)

vigawanyo vya tawhid

Image

Utukufu Wa Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia utukufu wa swaumu katika fidia za makosa mbalimbali,na maajabu ya pepo ya wafungaji(arayaan).

Image

Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo muhimu ya siku ya Ashuraa na kuhusishwa siku hiyo na swaumu ya Arafa, pia imeelezea fadhila za swaumu ya Ashuraa.

Image

Safari Ya Mwisho 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kumcha Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia ulazima wa kuchunga mipaka ya Mwenyezi Mungu.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.

Image

Manasik ya Umrah - (Kiswahili)

Manasik ya Umrah

Image

Kisimamo Katika Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia qiyamu layli,ubora wake na namna ya kuswali,na ulazima wa kuwali kisimamo cha usiku.

Image

Safari Ya Mwisho 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kudumu katika kufanya matendo mazuri, pia imezungumzia kujiandaa kutokana na safari ya mwisho (umauti).