×
Image

Dua baada ya Udhu - 12 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

MAMBO YA UZUSHI KATIKA MWEZI WA RAJAB - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mabo ya uzushi yanayopatikana ndani ya mwezi wa Rajab, na kusisitiza kwamba waislam wajiepushe na mambo hayo kwa kufanya yaliyo amrishwa na Mwenyezi Mungu

Image

Tabia za muislam - (Kiswahili)

Tabia za muislam

Image

Niwakati gani anafungua alie funga ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia rehema ya allah kwa waja wake wadhaifu,na swaumu ya mwnye mimba na anae nyonyesha.na wakati anao takiwa kula alie funga swaumu.

Image

Safari Ya Mwisho 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Safari ya mwisho na maana yake na kwamba kila safari lazima iwe na mwanzo, pia imeelezea historia fupi ya kuumbwa kwa Nabii Adam.

Image

HUKUMU ZA TWAHARA - (Kiswahili)

Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.

Image

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uwajibu wa kufunga swaumu ya ramadhani,na hatuwa za kufaradhishwa swaumu,na nguzo za uislam,na uhimizo wa kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani.

Image

Ubora wa kumfuatisha Muadhini wakati wa kuadhini, na kuomba Dua baada ya Adhana - 10 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yaliyo ruhusiwa kwa alie funga kuyafanya,kama kuamka na janaba,na kupiga mswaki,nayoote yasio funguza katika quraan na sunnah.

Image

Malipo ya watu wenye kuadhini - 09 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.

Image

Kuhifadhi aya katika Surat Kahf - 08 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.