×
Ni Abuu Abdillah Muhammad Ibn Swaleh bin Swaleh bin Sulaiman bin Abdul Rahman bin Othman bin Abdullah bin Abdulrahman bin Ahmed bin Muqbil katika Ali Muqbil katika Al Raes Al Wahbiy AlTamimi, na Babu yake wa nne Othman ndie alie itwa Uthaymeen, akajulikana kwa jina hilo, nae nikatika kizazi cha Wahb katika ukoo wa Tamiim , kutoka katika sehemu inaitwa Alwashmu mpaka Unayzah.