×
Mada hii inazungumzia: Madhambi saba yenye kuangangamiza, na kwamba ni lazima mwislamu ajiepushe nayo kama alivyosema Mtume (s.a.w), pia imezungumzia hatari ya ushirikina na kwamba mshirikina akifa bila kutubu mafikio yake ni motoni.