Bid’a ya Maulidi
1. Mada hii inazungumzia: Namna watu wa Maulidi walivyo waelewa vibaya wana chuoni na kuwasingizia uongo.
2. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa kwasababu Mtume s.a.w hakufanya, kwahiyo kuacha kufanya Maulidi ni Sunna na kufanya ni Bidaa.
3. Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Bidaa na Sunna, pia imefafanua maana Sunnat Hasanah.
4. Mada hii inazungumzia: Ukweli aliouzungumza Sheikhul Islam Ibn Taymiyah kuhusu Maulidi, na uzushi anaozushiwa.
5. Mada hii inazungumzia: Ibn Taymiyah hajesema kuwa Maulidi inafaa kama wanavyodai Wazushi ( Watu wa Bidaa ).
6. Mada hii inazungumzia: Uharamu wa kusikiliza Samai za Masufi, na wala haifai kujifunza kupiga zomari.