×
Image

Hashim Rusaganya

Shekh Hashim Rusaganya: Amehitimu masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni katika walinganiaji wakubwa Nchini Tanzania, na ni muongozaji wa Mahujaji wakati wa Hijja.

Image

Salim Barahiyan

Shekh Salim Barahiyani: Amemaliza masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. na amehitimu masomo ya Masta nchini Pakistan, nimlinganiaji mashuhuri Kwa sasa ni mlinganiaji katika mji wa Tanga na ni Mudir katika Markaz za Answar nchini Tanzania.- فضيلة الشيخ سالم عبد الرحيم....

Image

Abdullah bin Awad Juhani

Imamu wa Msikiti wa Makkah

Image

Sharifu Abdul Adhwiim

Sharifu Abdul Adhwiim amezaliwa Kairo mwaka 1964. Alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Cairo, Idara ya Mawasiliano mwaka 1986.Alipata shahada ya udaktari(PHD) kutoka Canada mwaka 1997. na Nimwalim Msaidizi,Kitivo cha Uhandisi Idara ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Cairo, na amechukuliwa kwamuda na Chuo Kikuu cha Marekani,nimuasisi....

Image

Abdallah bin Muhammad Al-Salafy

Ana juhudi zake katika utafiti wa mafundisho ya itikadi za kishia

Image

fares Abbad

Fares Abbad: Msomaji hodari kwa sauti nzuri, na ni wa asili ya Yemen, karekodi mada ya matini za kielimu kwa sauti ukiongezea Koran kamili, na ni Imam msaidizi katika Msikiti wa Aly bin Abi Twalib katika mji wa Doha katika ukanda wa mashariki Saudi Arabia kanda.

Image

Sheikh Abubakar Shatwiry

Sheikh Abubakar Shatwiry kazaliwa mwaka 1970 م, na ameishi ktk mji wa Jidda, pia ni Imamu ktk Muskiti wa Furqan mtaa wa Nasim Jidda. kisha owa, ana watoto (4), anaitwa Baba Abdurrahman. Masomo yake: Anacho kibali cha Qur-ani Tukufu kwa upokezi wa Hafswa kutoka kwa A'swim kapokea kibali hicho kutoka....

Image

Twaha Sulaiman Bane

Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.