×
Image

Ujumbe mmoja - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.

Image

Umuhimu Wa Ikhlas Na Kumfuata Mtume - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Umuhimu wa ikhlasi katika ibada na sababu ya kukubaliwa ibada na umuhimu wa kumfuata mtume katika kila jambo, na majuto kwa mwenye kuacha Sunnah.

Image

Uhakika Wa Nabii Issa Katika Qura’n Na Injili - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.

Image

KUWA NA TAWHID YA KWELI NI SABABU YA KUPATA MWISHO MWEMA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Bishara wanayopewa na Allah watu wenye tawhid na msimamo wa kweli katika imani na ucha Mungu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 43 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo muhimu katika swala, pia imezungumzia aina za dua za ufunguzi katika swala.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kwenda mapema msikitini, pia imezungumzia faidha ya swala ya jamaa na umuhimu wa kukumbuka neema za Allah kabla ya kuulizwa siku ya Qiyama.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kuswali swala ya jamaa nyuma ya takbira ya Imamu kwa siku arubaini, pia imezungumzia swafu iliyo bora kwa wanaume.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 18 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: ukamilifu wa mada ilio pita ikizungumzia maana ya kumswalia mtume (s.a.w) kisha amebainisha namna ya kumswalia mtume, na hatari ya uzushi katika dini.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mahala atakapo pumzika Mtume (s.a.w) Peponi baada ya kufa kwake, pia imefafanunua na kutafsiri maajabu yote aliyo kutana nayo Mtume (s.a.w) na Malaika.

Image

UBORA WA KUAMRISHANA MEMA NA KUKATAZANA MAOVU. - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuamrishana mema na kukatazana maovu pia imezungumzia hatuwa za kukemea maovu katika uislam, pia amezungumzia sababu ya ummat Muhamad kuwa niuma bora.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya ubora na thawabu anazopata mtu anapoenda msikitini, pia imezunguzia hatari ya mwanaume wa kiislamu kuswalia nyumbani badala ya msikitini.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika namna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwenendo wa Mtume (s.a.w), na ameongelea uwajibu wa usafi na ameendelea kutaja nyakati za kupiga mswaki.