×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 58 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) alikuwa akileta tasbihi baada ya swala kwa mkono wake wa kulia, pia imeelezea Dua aliyokuwa akiomba Mtume (s.a.w).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 086 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Malipo ya mwenye kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea kushuka kwa Allah katika nusu ya mwisho ya usiku

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sehemu zilizo bora na muhimu kuomba dua kwa mwenye kufanya Hijja kama alivyokua akifanya Mtume (s.a.w) na watu wema waliopia, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga matendo ya Hijja na kuto ya changanya na shirki.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah ni kwamba Allah anawakusanya mahujjaji wote katika viwanja vya Arafa wakiwa katika vazi la aina moja, pia imezungumzia kuwa pepo ndiyo malipo ya mtu mwenye kufanya Hijja ya kweli.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah juu ya wake ni kwamba amempa mwanadamu akili na akamfanya kuwa kiumbe bora kuliko, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya toba ya kweli katika masiku ya Hijja

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake.

Image

Haki Za Binadamu Katika Uislam - (Kiswahili)

• Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu katika uislam amezungumzia maana ya haki na umuhimu wa kujuwa haki za binadamu na ulazima wa kuzilinda, pia ametaja haki tano katika Quraan kwa ujumla. • Mda hii inazungumzia: maana ya binadamu na maana ya uislam, na ametaja mafundisho ya uislam kuhusu haki....

Image

Adabu Za Kuomba Dua - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia adabu za dua na masharti ya kujibiwa dua na jinsi alivyokuwa akiomba mtume -swala Allah alayhi wasalama- wakati wa kufungua swaumu na baada ya kufungua swaumu. 2. Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni. 3. Mada hii....

Image

Elimu ya dini ndio ukombozi wetu - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya dhil hija kisha ameeleza kuwa Elimu ndio kibainisho cha halali na haramu na ndio sababu ya kumuabudu Allah kwa usahihi, na mtu asie kuwa na elimu ya dini anakuwa kama mfu. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita inaelezea msiba wa....

Image

Bid’a ya Maulidi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Namna watu wa Maulidi walivyo waelewa vibaya wana chuoni na kuwasingizia uongo. 2. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa kwasababu Mtume s.a.w hakufanya, kwahiyo kuacha kufanya Maulidi ni Sunna na kufanya ni Bidaa. 3. Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Bidaa na Sunna, pia imefafanua maana....

Image

Kwanini Hatusherehekei Maulidi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi. 2. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi. 3. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi....

Image

Kafara ya kikao - 05 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.