×
Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya dua za Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea katika dua aliyomuombea Utba bin Abi Lahbi baada ya kumfanyia maudhi Mtume (s.a.w), pia imezungumzia hatari ya kumuudhi Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua aliyomuombea Swahaba Abdi LLahi bin Abbas (r.a) ya kwamba Allah amzidishie elimu, pia imezungumzia umuhimu wa kujifunza kupitia miujiza ya Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua, pia imezungumzia dua ya Mtume (s.a.w) aliyomuombea Swahaba Nabigha Alja’ad (r.a).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni Dua aliyo muombea Swahaba Abdu Rahman bin A’ufy (r.a) na ikaleta maajabu na natija kubwa sana, pia imeelezaa kwa ufupi kisa cha Sa’ad bin Abi Waqaas.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ni miujiza katika Dua anayoomba au kuombea watu, pia imezungumzia kisa cha Swahaba Anas bin Malik (r.a) na Dua aliyoombewa na Mtume (s.a.w).

Image

Nasaha za vitendo vya Hijja 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hijja ni wito na kwamba ni muhimu kujitahidi kufanya ibada katika masiku ya Hijja nakumuomba Allah sana ili kupata radhi za Allah katika masiku yahija matukufu.

Image

UKUMBUSHO KWA WAFUNGAJI - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu na ubora na uzito wa funga ya mwezi wa Ramadhan kwa mujibu wa Aya na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (s.a.w) pia kimezungumzia juu ya mambo yanayo tengua swaumu.

Image

LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Madhambi makubwa ya liwatwi na kusagana wanawake kwa wanawake yanayo fanyika katika ummat Muhammad (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 26 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni utabiri wake juu ya ushindi katika kikosi alicho kiongoza Ally bin Abi Twalib (r.a), pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) ktk kuponya walio pooza katika maswahaba(r.a).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 25 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni miujiza ya kuwaponya watu waliokuwa na maradhi mbali mbali, pia imezungumzia tofauti ya miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w) na Mitume wengine (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 24 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ule muujiza wa kujibu maswali juu ya mambo tisa waliyomuuliza Mayahudi, pia imezungumzia miongoni mwa itikadi mbovu za Mayahudi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 23 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akijibu maswali ya Myahudi, pia imezungumzia mambo tisa aliyoulizwa Mtume (s.a.w) na Mayahudi, yaliyokuwa wakati wa Nabii Mussa (a.s).