×
Image

Ukweli - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Ubora wa mtu kuwa mkeli, na kwamba ukweli ni katika sharti za laa Ilaha ila Lllah, na ukweli ni utulivu wa nafsi bali uongo ni mashaka, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya mambo kwa ajili ya Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Alama za watu wakweli, kama vile....

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 46 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyoacha amesema ya kwamba wataondoka (watakufa) Wanachuoni na ujinga utadhihiri, pia imezungumzia umuhimu wa elimu na hatari ya ujinga.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 45 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mameno aliyosema kwamba kikikaribia kiyama zama zitakaribiana mwaka utakua kama mwezi, amali zitakua chache na ubakhili utakithiri, pia imezungumzia umuhimu wa kusoma dini.

Image

HUKUMU ZA HIJA - (Kiswahili)

Makala hii inazungumzia hukumu za hija tangu alhaji kufika makkah mpaka anamaliza ibada ya hija.

Image

Sampuli Za Maudhi - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: makatazo ya kuudhiana waislam na kwamba wanao muudhi Allah na Mtume wake (s.a.w) wana laana kubwa, pia imezungumzia aina mbili za maudhi ambayo ni maudhi ya maneno na vitendo. 2- Mada hii inazungumzia: Hatari ya madhambi na maudhi ya kusengenya na kwamba hao ndio wanaokula nyama....

Image

Kujinasibu na baba asiyekuwa wake -60 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 44 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai Utume ni Milza Ahmadi Alkaadiyan aliyedai kwamba anapata wahyi kutoka mbinguni, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) aliposema kwamba utakithiri ujinga katika zama hizi na elimu itashuka.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 43 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai utume baada ya kufa Mtume (s.a.w) ni mwanamke aitwae Sajjaha bintul-Harith, na wengineo.

Image

Miongoni Mwa Alama Za Qiyama - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama ni pindi itakapo potea amana na atakapo pewa majukum mtu asiyefaa basi subirini Qiyama, pia imezungumzia umuhimu wa kuchagua viongozi wanao faa 2- Makala hii inazungumzia: Madhara ya kutegemeza majambo kwa wanawake na watu wajinga wasio na elimu basi umauti ni....

Image

Kumtuhumu mwislam kwa ukafiri -59 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 42 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema kwamba hakitosimama kiyama ila watatokea watu waongo watakaodai Utume, pia imezungumzia vita aliyopigwa Musailama Al-kadhaab baada ya kudai Utume.

Image

Kubadilika Kwa Neema Na Kuwa Adhabu - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Hatari ya kukufuru neema na namna Mwnyezi Mungu alivyo angamiza baadhi ya watu baada ya kukufuru neema za Allah, pia imezungumzia jinsi Mwenyezi Mungu alivyotimiza neema zake juu ya waja wake, neema zilizo wazi na neema zilizo fichika 2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema kubwa....