×
Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 41 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mambo ya shari aliyomwambia Swahaba Hudhayfa bunil-Yamany (r.a) kwamba yatatokea katika zama hizi, pia imezungumzia ushauri na wasia wa Mtume (s.a.w) kwa Hudheyfa (r.a).

Image

HUKU YA MUZIKI NA DALILI YA UHARAMU WAKE NA QAULI ZA WANACHUONI KUHUSU MUZIKI - (Kiswahili)

Kitabu hii kinazunguzia Hukumu ya mziki na dalili za uharam wake na Qauli ya wanachuoni kuhusu mziki.

Image

Utukufu Wa Siku 10 Za Dhul Hijjah - (Kiswahili)

Mada hii imezungumzia Utukufu wa siku kumi za mfungo tatu na ubora wa kufanya ibada katika siku hazo.

Image

Saa Ya Kujibiwa Dua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia saa ya kujibiwa dua ambayo inapatikana siku ya ijumaa, amebainisha wakati huo, na pindi mtu anaposhtuka usingizini akiwa amelala na udhu, na baina ya Adhuhuri na Asri siku ya ijuma tano

Image

Vitabu vilivyochaguliwa na Wavuti kwa lugha ya Kiswahili - (Kiswahili)

Vitabu vilivyochaguliwa na Wavuti kwa lugha ya Kiswahili

Image

Mwanamke kutoka akiwa na manukato -58 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 40 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kwamba mambo aliyoacha amesema kuwa yatatokea zama hizi yamesha tokea, pia imezungumzia umuhimu kwa waislamu kufanya bidii katika kutenda matendo yaliyo mema.

Image

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao. 2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika....

Image

Kutangaza siri -57 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

70.Al-Ma’arij - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 39 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema wakati wa uhai wake Mtume (s.a.w) na yakatokea baada ya kufa kwake, miongoni mwa hayo ni maneno aliyosema kwamba zitakuja zama za fitna na watu watauana sana.

Image

Siku Ya Arafa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, ubora wake, nakwamba Allah anashuka na kuwasogelea kwa waliosimama katika viwanja vya Arafa, na Allah anajifakhari kwa malaika, na yanayo takiwa kufanywa nawale ambao hawako katika viwanja vya Arafa.