×
Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 01 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mahala atakapo pumzika Mtume (s.a.w) Peponi baada ya kufa kwake, pia imefafanunua na kutafsiri maajabu yote aliyo kutana nayo Mtume (s.a.w) na Malaika.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 164 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuchinja na sharti za mnyama anaefaa kuchinjwa.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika hadithi ya ndoto na maajabu aliyoyaona akiwa na Malaika, pia imezungumzia nyumba aliyokabidhiwa Mtume (s.a.w) na Malaika baada ya safari ndefu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 163 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ibada ya kuchinja siku ya Iddi, pia imeelezea wakati na muda wa kuchinja.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kuswali swala ya jamaa nyuma ya takbira ya Imamu kwa siku arubaini, pia imezungumzia swafu iliyo bora kwa wanaume.

Image

Makasisi Waingia Uislamu - (Kiswahili)

-

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 162 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hekima ya kutoa zakatul Fitri na anae paswa kutoa zakatul fitri.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kwenda mapema msikitini, pia imezungumzia faidha ya swala ya jamaa na umuhimu wa kukumbuka neema za Allah kabla ya kuulizwa siku ya Qiyama.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 161 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Zakatul Fitri, na adabu zake na kiwango chake.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu na ubora kwa mwanamke wa kiislamu kuswalia nyumbani, pia imezungumzia fadhila anazopata mtu anapokaa msikitini akisubiri kuswali.

Image

Kuamini Qadari Ni Sababu Ya Kupata Sa’ada - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.