×
Image

HUKUMU ZA TWAHARA - (Kiswahili)

Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.

Image

KUCHUPA MIPAKA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuchupa mipaka katika Dini.

Image

AQIDA YA AHLU SUNNA WAL JAMAA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Aqida ya Ahlu Sunna wal Jamaa.

Image

Fadhila za Tawhid - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia fadhila za kumpwekesha Allah na kumtegemea yeye kwa kila kitu.

Image

Leaving the Prayer - (Kiswahili)

No Description

Image

UMUHIMU WATAUHIDI 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid na uzito wa sura zilizo shuka kuizungumzia Tawhiid.

Image

UMUHIMU WATAUHIDI 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid katika Daawa na ndio jambo lakwanza linalo takiwa lianze katika daawa.

Image

UMUHIMU WATAUHIDI1 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Maana ya Tawhiid na umuhimu wa Tawhiid na Tawhiid ndio msingi wa amani katika maisha ya duniani.

Image

MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.

Image

USHIRIKINA KATIKA IBADA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia balaa la ushirikina katika Ibadan a madhara yake.

Image

093. Al-dhuhaa - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka..