×
Image

Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na cheo chake na utukufu wake katika uislam.

Image

Kuacha ubishi na uwongo - 78 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Wazaziwako Nimilango Ya Pepo - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia thamani ya wazazia nawao nimilango ya pepo,na cheo cha mama katika maisha ya wanadamu,na sababu zinazo sababisha watoto wasiwatii wazazi wao.

Image

Kuwaombea msamaha wasilam wakike na wakiume - 77 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

KUITUMIKIA DINI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.

Image

Hukumu Za Kula Daku - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku sehemu ya kwanza inazungumziya furaha mbili za mfungaji,na Baraka za kula daku,na ubora wakula daku. 2- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku namakusudio ya Baraka katika kula daku,na muda wakula daku.

Image

Mwenye kumuombea dua nduguyake muislam - 76 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Fadhila za mwezi Muharam, siku ya Ashuraa na bidaa zake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia utukufu wa mwezi muharam, fadhila zake na ubora wa swaum ya Ashuraa, pamoja na tahadhari juu ya mambo yanayozushwa (bidaa) ndani yake.

Image

FAHAMU JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI NA YANAYO PASA KWA KILA MUISLAM KUYAJUWA KABLA YA MWEZI WARADHANI KUMFIKIA.

Image

Nguzo tatu za nguzo ya pili ya sala - (Kiswahili)

Nguzo tatu za nguzo ya pili ya sala

Image

Neema Ya Mtoto Nauwajibu Wa Kumlinda - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia neema ya mtoto na umuhimu wa kumlinda motto.

Image

Wenye kupendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu - 75 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.