×
Image

Mambo Yenye Kuharibu Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia venye kufunguza swaumu,sindano ao kumuingilia mkeo kwa kusudi,nahukumu ya kulipa deni la ramadhani,na mwenye kufa akiwa na swaumu ya nadhiri.

Image

Safari Ya Mwisho 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Asili atokanayo mwanadamu, pia imeelezea malipo ya wenye kumuamini Mwenyezi Mungu bila ya kuzichanganya imani zao na shirki

Image

Hatua nyingi kuelekea Msikitini - 14 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Ni nani aliyeniumba? Na ni kwa nini aliniumba?Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba. - (Kiswahili)

Ni nani aliyeniumba? Na ni kwa nini aliniumba?Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba.

Image

MUSA: KALEEMULLAAH - (Kiswahili)

MUSA: KALEEMULLAAH

Image

Kula Daku Na Fadhila Zake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.

Image

Safari Ya Mwisho 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maisha ya Nabii Adam (a.s) baada ya kuondolewa Peponi, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwongozo wa Allah katika maisha.

Image

Kusali rakaa mbili baada ya Udhu - 13 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Weka jina la mnyama au ndege katika nafasi iliyo wazi - (Kiswahili)

Weka jina la mnyama au ndege katika nafasi iliyo wazi

Image

KUFICHUA YENYE UTATA - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazunguzia kufichua (kuyaweka wazi) mambo yenye utata

Image

Kafara Na Fidiya Kwa Mwenyekufungua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.

Image

Safari Ya Mwisho 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kuumbwa kwa Mama yetu Hawa (a.s), pia imezungumzia namna Babayetu Adamu na Hawa walivyo shawishiwa na ibilisi peponi.