×
Image

KINGA YA KILA SIKU DHIDI YA SHETANI, UCHAWI, HUSDA NA KILA UBAYA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia namna ya kujikinga na kila balaa na ubaya.

Image

Aina Tatu Za Ibada Ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina tatu za ibada ya Hijja ambazo ni Tamatu’u, Kiran na Ifrad, pia imefafanua namna ya kutekeleza ibada hizo.

Image

ADABU ZA KULA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia adabu na dua ya kula

Image

Hukumu Ya Mwanamke Kwenda Hijja Peke Yake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Haifai kwa mwanamke kusafiri peke yake kwenda Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hajji mpaka awe na mahram nao ni Baba, babu, watoto, mume nk. pia imezungumzia hadhi na heshima ya mwanamke

Image

Uzushi Wa Nusu Ya Sha’baan - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia na kufafanua uzushi unaofanywa na baadhi ya watu katika mwezi wa Shaabani.

Image

Khutba Ya Iddil: Lini Tutapata Ushindi - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia lini tutapata ushindi na sababu za kupata ushindi,na mambo ambayo yanayo ziwiya ushindi.

Image

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mipaka aina tano maalum ya Hijja na Umra, na yanayostahiki kufanywa sehem hizo, pia imezungumzia kafara ya mtu aliyepita Mi’qat bila ya kuhirimia au kuvaa ihram

Image

Kumuita mnafiki “Bwana” -62 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 48 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ule wa kulia machozi nguzo ya mtende wakati Mtume (s.a.w) alipokua akitoa khutba katika Msikiti wa Madina, pia imezungumzia kuwa Mtume (s.a.w) ndiye mwenye miujiza mingi kuliko mitume wote.

Image

Nasaha Kwa Mahujaji - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutekeleza ibada ya Hijja na kwamba ni miongoni mwa ibada bora na nguzo ya tano ya Uislam, pia imezungumzia yanayofanya Hijja iwe sahihi ikiwemo kujifunza utaratibu wa Hijja, ikhlasi na kufuata sunna za Mtume (s.a.w)

Image

Kumtia hofu mwislam -61 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 47 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maneno mazito ya Mtume (s.a.w) aliyosema akiwa Arafa katika Hijja yake ya mwisho, alisema ichukueni elimu kabla haijaondoka, pia imezungumzia umuhimu wa kushikamana na Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w).