×
Image

Nasaha za vitendo vya Hijja 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah.

Image

Araheeq Al-Makhtum 09 - (Kiswahili)

Mada hii inawaelezea Maswahaba walioteswa kwajili ya Allah na mafunzo waliyo yapata kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w).

Image

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.

Image

WASIA KWA WENYE KUFUNGA RAMADHAN - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia wasia muhimu kwa mfungaji yakiwemo mambo anayo takiwa kuyafanya namambo ambayo hatakiwi kuyafanya mtu alie funga.

Image

Araheeq Al-Makhtum 08 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea uharamu wa kuwatukana Maswahaba na inatahadharisha kukaa kwenye vikao ambavyo vinawazungumzia vibaya maswahaba.

Image

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.

Image

MADHARA YA KULAUMU WATU - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Baadhi ya tabiya mbaya ya kulaumu na madhara yake.

Image

SHARTI ZA KUSIHI KWA FUNGA - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia sharti za kuswihi kwa funga na baadhi ya maswali na majibu katika mambo muhimu ambayo yanawatatiza baadhi ya waislam.

Image

Araheeq Al-Makhtum 07 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea mateso walio yapata maswahaba na waislam walio tangulia na wa leo na jinsi kusoma jinsi walivyo teseka kwajili ya allah.

Image

MILANGO YA KHERI KATIKA RAMADHANI - (Kiswahili)

Mada hii inazungumziya milango ya kheri inayo patikana katika mwezi mtukufu wa ramadhani na namna ya kuipata milango hiyo.

Image

Araheeq Al-Makhtum 06 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea mbinu ambazo zinatumiwa na makafiri ili kuwapoteza wislamu na kuwaweka mbali na Qur’an.

Image

KUHESHIMIYANA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.