Hukumu za swala
أعرض المحتوى باللغة العربية
Mada hii inazungumzia hukumu za swala,na hukumu za kusoma Alfatha,na jinsi ya kusoma katika swala,na viungo vinavyo sujudu na jinsi ya kusoma tahiyatu.na nafasi ya utulivu katika swala.