translation Mwandishi : Swalehe Ibrahim
1

Miongoni Mwa Alama Za Qiyama 2

7.7 MB MP3
2

Miongoni Mwa Alama Za Qiyama 1

16.8 MB MP3

1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama ni pindi itakapo potea amana na atakapo pewa majukum mtu asiyefaa basi subirini Qiyama, pia imezungumzia umuhimu wa kuchagua viongozi wanao faa 2- Makala hii inazungumzia: Madhara ya kutegemeza majambo kwa wanawake na watu wajinga wasio na elimu basi umauti ni bora kuliko kuishi, pia imeelezea hatari za ubakhili.

Jamii ya vilivyomo