Swaumu Ya Ramadhani Nisababu Ya Kumuogopa Allah

أعرض المحتوى باللغة العربية anchor

1

Swaumu Ya Ramadhani Nisababu Ya Kumuogopa Allah 2

15.5 MB MP3
2

Swaumu Ya Ramadhani Nisababu Ya Kumuogopa Allah 1

15.2 MB MP3

Makala hii inazungumzia:Ubora wa mwezi mtukufu wa ramadhani, pia amezungumzia Ubora wa laylatul Qadri na kuteremshwa Quraan. Pia kahusia umuhimu wa kufanya towba Makala hii inazungumzia: makatazo ya kuutangulia mwezi wa Ramadhan ila mwenye nadhiri, pia amezungumzia uwajibu wa kufunga pindi mwezi unapo onekana, na sharti za kukubaliwa mwezi wa shawali .

Jamii ya vilivyomo