Yapi Tuyafanye Katika Mwezi Wa Ramadhan Ili Tuwe Tumefunga

أعرض المحتوى باللغة العربية anchor

translation Mwandishi : Qasim Mafuta
1

Yapi Tuyafanye Katika Mwezi Wa Ramadhan Ili Tuwe Tumefunga

7.7 MB MP3

Mada hii inazungumzia: Mambo yanayoifanya swaumu iwe sahihi na yanayoifanya swaumu kuwa si sahihi, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na uongo, kusengenya, na dhulma na vikao vya kipuuzi ndani ya mwezi wa Ramadhani.

Jamii ya vilivyomo