Namna Ya Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhan Na Kutoka Kwake

أعرض المحتوى باللغة العربية anchor

1

Namna Ya Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhan Na Kutoka Kwake 2

4.9 MB MP3
2

Namna Ya Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhan Na Kutoka Kwake 1

4.6 MB MP3

Mada hii inazunguzia: Neema ya kufikishwa katika mwezi mtukufu wa ramadhani pia amezungumzia jinsi unavyo ingia mwezi wa ramadhani na kutoka kwake na hali zawatu katika swala la mwandamo wa mwezi na njia sahihi ktika kuthibitisha mwezi. Mada hii inazunguzia: Kuingia kwa Mwezi wa Ramadhan na kutoka kuna njia mbili, njia ya kwanza ni kuonekana kwa mwandamo, na njia ya ya pili ni kutimiza siku thalathini, pia imezungumzia ubora wa kufunga na kufungua siku moja waislamu wote duniani.

Jamii ya vilivyomo