translation Mwandishi : Yasini Twaha Hassani
1

Umuhimu Wa Tawheed

11.8 MB MP3

Mada hii inazungumzia:Utukufu wa muislam kuwa na lailaha Illa Allah katika maisha yake, na mambo mengi alio yafanya Allah kwasababu ya neon hilo, na kuna habari njema kuwa mwenye kufa bila kufanya ushirikina ataingia peponi.

Jamii ya vilivyomo