translation Mwandishi : Abubakari Shabani Rukonkwa
1

Hukumu Za Zakatul Fitwir

17.9 MB MP3

Mada hii inazungumzia hukumu ya kutowa zakatul fitri na Yule ambae niwajibu kwake kutowa,hukumu yakutowa thamani yake,faida ya zakatul alfitwir,na aina ya chakula kinachotakiwa kutolewa,na kiwango chake.

Jamii ya vilivyomo