translation Mwandishi : Salim Barahiyan
1

Kumuabudu Allah

34.5 MB MP3

Mada hii inazungumzia maana ya ibada na athari za ibada na juhudi za maswahaba katika kuifwaata dini. pia madahii inazungumzia maana ya lailaha ila allah.

Jamii ya vilivyomo