Wakati Wa Kuanza Swaumu
أعرض المحتوى باللغة العربية
Mada hii inazungumzia hali ya waislam wakwanza katika kufunga,na wakati wakuanza kufunga,na toauti baina ya alfajiri yakweli na alfajiri ya uongo.