translation Mwandishi : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman
1

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani

34.8 MB MP3

Mada hii inazungumzia uwajibu wa kufunga swaumu ya ramadhani,na hatuwa za kufaradhishwa swaumu,na nguzo za uislam,na uhimizo wa kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani.

Jamii ya vilivyomo