Namna Ya Kuupokea Mwezi Wa Ramadhani ?
أعرض المحتوى باللغة العربية
Mada hii inazungumzia namna ya kuupokea mwezi wa ramadhani,na bishara za mwezi wa ramadhani,tofauti kati ya ramadhani wakati wa mtume na wakati wetu.