×
Image

KINGA YA MUISLAM - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga kutokana na shetani na hatari ya kujikikinga kwa asiyekua Allah.

Image

BID’A YA MAWLIDI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Bidaa za sherehe za mazazi ya Mtume(s.a.w)

Image

KUWA NA TAWHID YA KWELI NI SABABU YA KUPATA MWISHO MWEMA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Bishara wanayopewa na Allah watu wenye tawhid na msimamo wa kweli katika imani na ucha Mungu.

Image

ZIARA YA MADINA - (Kiswahili)

Mada hii inafafanua kuhusu ziara ya mji wa Madina,na adabu zake na mambo yasiyo takiwa kwa mwenye kutembelea madian.

Image

HUKUMU YA ANAEFUNGA HALI YA KUWA HASWALI - (Kiswahili)

Makala hii inazungumzia: hukumu ya mtu anaefunga ilihali hasali pia amezungumzia hukumu ya asie swali nimuislam au nikafiri, pia akazungumzia hukumu ya mtu anaesahau swala zake.

Image

UBORA WA TAWHIYD - (Kiswahili)

Makala hii inazunguzia: Ubora wa Tawhiyd na kwambaTawhiyd Ni Bora kuliko Mali Na Starehe Za Duniani Na Neno La Tawhiyd nizito katika mizani kuliko mbingu saba na ardhi saba.

Image

HISTORIA YA KRISMASI NA HUKUMU YA KUSHEREHEKEA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mas’ala ya krismasi na uzushi wake

Image

KUCHUPA MIPAKA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuchupa mipaka katika Dini.

Image

AQIDA YA AHLU SUNNA WAL JAMAA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Aqida ya Ahlu Sunna wal Jamaa.

Image

Fadhila za Tawhid - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia fadhila za kumpwekesha Allah na kumtegemea yeye kwa kila kitu.