Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 07
أعرض المحتوى باللغة العربية
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) ameeleza jinsi Allah anavyo zalisha mema ya mwanadamu, kisha amehusia watu juu ya umuhimu wa kuunganisha watu.