translation Mwandishi : Qasim Mafuta
1

Kwanini Hatusherehekei Maulidi - 4

4.84 MB MP3
2

Kwanini Hatusherehekei Maulidi - 3

9.29 MB MP3
3

Kwanini Hatusherehekei Maulidi - 2

9.29 MB MP3
4

Kwanini Hatusherehekei Maulidi - 1

33.9 MB MP3

1. Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi. 2. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi. 3. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi na upotovu), pia imeelezea namna wazushi wasivyo na hoja na wanafuata matamamnio ya nafsi zao. 4. Mada hii inazungumzia: Uzushi wa kusherehekea Maulidi umenzishwa mwanzoni mwa karne ya sita.

Jamii ya vilivyomo