translation Mwandishi : Abubakari Shabani Rukonkwa
1

Adabu Za Kuomba Dua 05

28.34 MB MP3
2

Adabu Za Kuomba Dua 04

20.59 MB MP3
3

Adabu Za Kuomba Dua 03

25.81 MB MP3
4

Adabu Za Kuomba Dua 02

30.28 MB MP3
5

Adabu Za Kuomba Dua 01

37 MB MP3

1. Mada hii inazungumzia adabu za dua na masharti ya kujibiwa dua na jinsi alivyokuwa akiomba mtume -swala Allah alayhi wasalama- wakati wa kufungua swaumu na baada ya kufungua swaumu. 2. Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni. 3. Mada hii inazungumzia adabu za dua na nyakati muhimu za kujibiwa dua. 4. Mada hii inazungumzia adabu za dua nambo anayotakiwa kuyafanya mwenya kuomba dua. 5. Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo yanayo ziwiya dua kujibiwa.

Jamii ya vilivyomo