translation Mwandishi : Abubakari Shabani Rukonkwa
1

Namna Ya Kusherehekea Iddi 4

21.1 MB MP3
2

Namna Ya Kusherehekea Iddi 2

22.4 MB MP3
3

Namna Ya Kusherehekea Iddi 3

9.7 MB MP3
4

Namna Ya Kusherehekea Iddi 1

27.2 MB MP3

1- Makala hii inazunguzia:Maana ya Iddi na neema ya Idd ya kiislam na historia yake, faida za Iddi na umuhimu wa kumfuata mtume katika katika kufunga na nakufungua na kusherehekea Iddi. 2- Makala hii inazunguzia:Chanzo cha siku za Iddi, nakwamba Iddi ilikuja kufuta siku kuu za kijinga, ameleza kuwa siku za Iddi zimewekwa kwalengo la kumtukuza Allah. 3- Makala hii inazunguzia:Adabu za kusherehekeya sikukuu za Iddi, ikiwemo kumtii Allah, na kusimamisha swala na kuwatembelea wagonjwa, nakuwafanyia wema majirani . 4- Makala hii inazunguzia: Mambo yanayo takiwa kuachwa katika siku za Iddi, ikiwemo kujiepusha na madhambi, na kujiepusha na miziki, na wanawake kutembea uchi nk.

Jamii ya vilivyomo