Uislamu Aliokuja Nao Mtume Muhammad (S.A.W)

أعرض المحتوى باللغة العربية anchor

translation Mwandishi : Yasini Twaha Hassani
1

Uislamu Aliokuja Nao Mtume Muhammad (S.A.W)

32.06 MB MP3

Mada hii inazungumzia: Uislamu aliokuja nao Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na namna alivyolingania watu katika uislamu na huruma kwa umma wake, na uislam haikuja kwa upanga.

Jamii ya vilivyomo